no9 Senior Member Joined Nov 11, 2010 Posts 188 Reaction score 18 May 4, 2012 #1 kuna wakati tunainga kwenye mechi mwenzangu hafiki kileleni wala mimi sishushi mzigo mechi yenye tunaenda karibu dk 40-60 maadalizi ya kutosha je hili ni tatizo
kuna wakati tunainga kwenye mechi mwenzangu hafiki kileleni wala mimi sishushi mzigo mechi yenye tunaenda karibu dk 40-60 maadalizi ya kutosha je hili ni tatizo
mdoe JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 433 Reaction score 103 May 4, 2012 #2 Kama hamjagida mikonyagi basi mnacheza mechi mawazo yenu yako mbali sana! Kila mtu anawaza stress zinazomkabili wakati mna dot dot.
Kama hamjagida mikonyagi basi mnacheza mechi mawazo yenu yako mbali sana! Kila mtu anawaza stress zinazomkabili wakati mna dot dot.
no9 Senior Member Joined Nov 11, 2010 Posts 188 Reaction score 18 May 4, 2012 Thread starter #3 tunakuwa wazima na jokes kibao halafu stress za nini kabla ya hilo tendo tunafanya maombi ibilisi asije ingilia kati
tunakuwa wazima na jokes kibao halafu stress za nini kabla ya hilo tendo tunafanya maombi ibilisi asije ingilia kati
P poto Member Joined Mar 27, 2012 Posts 62 Reaction score 3 May 4, 2012 #4 laweza kuw tatizo la kisaikologia
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 May 4, 2012 #5 Duh!hata mwanaume anatoka kapa??lol..there must be something wrong somewhere..
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 May 4, 2012 #6 Purple said: Duh!hata mwanaume anatoka kapa??lol..there must be something wrong somewhere..[/QUOTE] ....hahahahah lol! kaishiwa banaaa hahahaha! lakini hii ya leo kali 🙂🙂 Click to expand...
Purple said: Duh!hata mwanaume anatoka kapa??lol..there must be something wrong somewhere..[/QUOTE] ....hahahahah lol! kaishiwa banaaa hahahaha! lakini hii ya leo kali 🙂🙂 Click to expand...
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,763 Reaction score 766 May 4, 2012 #7 Hata povu halitoki mkuu?
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,234 May 4, 2012 #8 Jaribuni kula misosi yenye vitamini na yenye kuzalisha mbegu nyingi muone kama utakuwa unatoa hewa!! Lol Lazima zitoke
Jaribuni kula misosi yenye vitamini na yenye kuzalisha mbegu nyingi muone kama utakuwa unatoa hewa!! Lol Lazima zitoke
Landala JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 997 Reaction score 478 May 4, 2012 #9 Jaribu kula vya kula vya asili kama matunda,ugali wa dona,mboga za majani.Usipendelee kula ugali wa sembe,chipsi,juice na vyakula vya kwenye makopo.
Jaribu kula vya kula vya asili kama matunda,ugali wa dona,mboga za majani.Usipendelee kula ugali wa sembe,chipsi,juice na vyakula vya kwenye makopo.
molely molly JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 317 Reaction score 30 May 4, 2012 #10 dah teari! yani chalii, usikute mamy kitandani anageuka mgumba oh! au kosa lako ni kumkaribisha mungu kwenye zinaa na while utakuta hujamuoa mwenzako
dah teari! yani chalii, usikute mamy kitandani anageuka mgumba oh! au kosa lako ni kumkaribisha mungu kwenye zinaa na while utakuta hujamuoa mwenzako
kigol Member Joined Apr 17, 2012 Posts 16 Reaction score 2 May 5, 2012 #11 Tatizo ni hizo sala,, mnafanya official sana
hodogo JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 238 Reaction score 93 May 5, 2012 #12 poto said: laweza kuw tatizo la kisaikologia Click to expand... Labda ulikunywa zile dawa za kienyeji kufanya gemu lidumu zaidi ya muda wa kawaida halafu umesahau!
poto said: laweza kuw tatizo la kisaikologia Click to expand... Labda ulikunywa zile dawa za kienyeji kufanya gemu lidumu zaidi ya muda wa kawaida halafu umesahau!
H hamic mussa JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 227 Reaction score 20 May 5, 2012 #13 duh! We nd'o basi tena co mwenzetu.
no9 Senior Member Joined Nov 11, 2010 Posts 188 Reaction score 18 May 11, 2012 Thread starter #14 hawa dada zetu mara ngapi wanaachwa inamaana wanaume hawaachwi umekwenda dk 30-50 mwenzio akikwmbi tayari kachoka utaendlea
hawa dada zetu mara ngapi wanaachwa inamaana wanaume hawaachwi umekwenda dk 30-50 mwenzio akikwmbi tayari kachoka utaendlea