Kunde nyeupe (Cowpeas)-Mkoa gani zinapatikana kwa wingi

Kunde nyeupe (Cowpeas)-Mkoa gani zinapatikana kwa wingi

tanzaleo

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
56
Reaction score
86
Habari za leo,

Nahitaj kufaham ni mkoa gani naweza kupata Kunde nyeupe Kwa wingi na bei Kwa kilo ni kiasi gani.

Ninahitaji tani 400.

Asante.
IMG-20200214-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check chanzo chako kama zinajulikana pia kwa jina la black eyed pea . vyovyote vile majira haya kwa uzoefu wangu mdogo si msimu wa mavuno ya kunde. Labda baada ya msimu wa mvua kwisha. namaanisha kiangazi.
 
Hiyo quantity unayotaka sio mchezo

Anyway kunde mikoa inayolima sana sana ni kanda ya kati yaani Dodoma,Singida na mikoa ya usukumani

Ngoja nimwite mtaalamu mrangi aje akupe taarifa zaidi mi nimerashiarashia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom