Kunde nyeupe (Cowpeas)-Mkoa gani zinapatikana kwa wingi

Check chanzo chako kama zinajulikana pia kwa jina la black eyed pea . vyovyote vile majira haya kwa uzoefu wangu mdogo si msimu wa mavuno ya kunde. Labda baada ya msimu wa mvua kwisha. namaanisha kiangazi.
 
Hiyo quantity unayotaka sio mchezo

Anyway kunde mikoa inayolima sana sana ni kanda ya kati yaani Dodoma,Singida na mikoa ya usukumani

Ngoja nimwite mtaalamu mrangi aje akupe taarifa zaidi mi nimerashiarashia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…