Kundi gani la Watu ambalo Msanii mchanga anatakiwa kujiepusha nao mara tu baada ya kufanikiwa?

Kundi gani la Watu ambalo Msanii mchanga anatakiwa kujiepusha nao mara tu baada ya kufanikiwa?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Hali gani?

Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya stars Bongo hasa wa muziki kufilisika mara baada tu ya ku hit kidogo, mpaka kupelekea watu wengi kudhani undergrounds wa Bongo wengi wana gundu.

Sasa katika muktadha wa mahusiano, ni nini underground star wa Bongo mwenye hela zake baada tu ya ku hit asikishobokee? Ni watu gani asishoboke nao hata kam watalazimisha ukaribu kiasi gani?

Karibu tuwaokoe undergrounds wetu.

#SaveOurUndergrounds
 
Hali gani? Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya stars Bongo hasa wa muziki kufilisika mara baada tu ya ku hit kidogo, mpaka kupelekea watu wengi kudhani undergrounds wa Bongo wengi wana gundu.

Sasa katika muktadha wa mahusiano, ni nini underground star wa Bongo mwenye hela zake baada tu ya ku hit asikishobokee? Ni watu gani asishoboke nao hata kam watalazimisha ukaribu kiasi gani?

Karibu tuwaokoe undergrounds wetu.
#SaveOurUndergrounds
Kujiunga na WCB, watalostika haraka sana kama Rich Mavoko na Rayvanny na kubaki tu kuwa chawa wa domo huku mwenzao akitembea na nyota zao.
 
Back
Top Bottom