Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahahaha
Gor ashinde tu wala asiangalie wenginePetro atletico na zamaleƙ ƙwaheri.
Wewe huwezi jiona ila wenzio ndio wanakuona.. so tulia
Gor mahia anafuzu hatua inayofuataaKundi hili ni gumu kama la Simba, ukiangalia pointi zinafanana kabisa. Wakenya pambaneni na nyie muwakilishe E.A kwenye shirikisho kama Simba kwenye club bingwa.View attachment 1047783
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua zamalek vizuri ndo inaongoza ligi huko misri ikifuatwa na al ahly sio simple kiivyoPetro atletico na zamaleƙ ƙwaheri.