Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

Global Jihad Mission is doomed to fail because it is ungodly and all who are hiding behind this evil are also doomed to fail.

God never sends anybody to kill anyone but the devil does.
 
Hawa Islamic state ni hawa hawa nchi za Ulaya na America,kama sio wao,kwa nini wasiwakamate hao wanaosambaza hizi habari pamoja na hicho cha habari na waenezaji hao mabango.
 
kuna namna Urusi aliframe lile tukio la Moscow ili kujiweka mbali lolote litakalotokea huku mbele , IS anawezaj shambulia kote kote West na East , kuna namna upande mmoja unaframe mambo
 
Wanachokifanya hao jamaa hakina uhusiano na uislam
Hakika. Ni ktk njama za kuwafanya watu wachukie uislam. Lkn Muumba hudhihirisha ukweli kwa wakati anaoutaka. Waislam hawaruhusiwi kuuwa bila ya sababu za kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…