Kundi la Makoma

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Mu-hali gani wanajamvi??

Napenda kujua kundi la Makoma liliishia wapi? Wako wapi na wanafanya nini??
 
Mkuu BAK naomba uniwekee kibao kimoja cha Makoma....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Ouush kumbe yule White.........DAh.Uko poa my brother

lile swali la ...........umeshalipatia jibu!!!!!
Niko poa Sis.....Ile ishu bado kupata solution... ila kuna moja nimeiweka under-probation huku nikipiga kisela..Naisikilizia niisome kwa mapana/marefu si unajua ukishangatwa na nyoka.
Kama vp andaa lunch Xmass nikuletee na wewe uithaminishe ila this tym siji na Mentor
 
Last edited by a moderator:
Nilisikia hawa ni familia mojaa yaan ndugu

Yap ni kundi linaloundwa na ndugu wa damu ambao ni Annie Makoma, Duma Makoma, Martin Makoma, Pengani Makoma, Tutala Makoma na Nathalie Makoma (kajitoa kwa sasa anaimba kivyake nyimbo za kidunia) pia kuna member anaitwa Patrick Badine, yeye sio ndugu.
source: Wikipedia
 
Leo nimewakumbuka nasikiza track zao hapa!
 
Wabongo tunapenda kupotezana sana hakuna hata member aliyekufa kwenye kundi la makoma,hizo story nlizisikia zamani sana ila ni uongo mtupu.
~~~~~~~~~~~~~~~
Who is dead in makoma group?
Out of the six sibilings, none are dead.
 
Walianza vizuri kuimba gospel, taratibu wakaanza kuharibika kwa kuchanganya dini na mambo ya kidunia wakaanza kujichubua kujitoboa kuvaa milegezo na mengine mengi!!! Mungu akajitenga nao, wakafifia taratibu mpaka wakapotea kwenye ramani ya muziki
 
Wabongo tunapenda kupotezana sana hakuna hata member aliyekufa kwenye kundi la makoma,hizo story nlizisikia zamani sana ila ni uongo mtupu.
~~~~~~~~~~~~~~~
Who is dead in makoma group?
Out of the six sibilings, none are dead.
afadhali aisee maana kundi zi huyo bonge anaimba kwa kupayuka ndiyo namkubali sssana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…