Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatakufa?.Tafuta pilipili kichaa kavu kabisa kisha zisage ziwe unga kabisa..
Chukua chetezo namkaa wakee..
Funga madilisha yote yachumba..
Funga mlango wachumba kidogo sana uache upenyo kidogo,
Weka unga wapilipili kwenye mkaa, kisha weka chumbani baada yadakika15 uje kuleta majibu hapa.
Kwanini unataka wasife...?Hawatakufa?.
Ukifunga mlango kabisa hakuna zaidi yakufa..ila kama utaacha upenyo kiasi kwenye mlango itawalazimu kutoka nduki kuokoa maisha yao.Hawatakufa?.
Ukitaka wasife acha kaupenyo wakimbie waende kuvamia mtu wamuume afe huyo mtu atakuwa hana manufaa.Hawatakufa?.
Tatizo la Nyuki ni kuelekea kwenye nafasi ya kutokea.Ukifunga mlango kabisa hakuna zaidi yakufa..ila kama utaacha upenyo kiasi kwenye mlango itawalazimu kutoka nduki kuokoa maisha yao.
Sidhani kama Nyuki huuma bila ya sababu...ndio maana hata kule Mashine ya kusaga au kwa Muuza mananasi wanakuwepo wengi tu.....ukifuata yako ukawaacha na yao wala hawana shida.Ukitaka wasife acha kaupenyo wakimbie waende kuvamia mtu wamuume afe huyo mtu atakuwa hana manufaa.
Kuna situation ni kuua tu ili ujiokoe na kuna situation unaweza kujeruhi ili kujiokoa
Wakiwashughulikia ng'ombe wako au watoto ndo utajua ubaya waoHakuna Mzinga ila kuna miti mingi tu maeneo haya, nahisi wana kambi yao maeneo haya.
Basi hata nikiwaua hawa waliopo ndani si bado wale wa nje watakuwa hatari kama wana makazi maeneo haya?.Wakiwashughulikia ng'ombe wako au watoto ndo utajua ubaya wao
Kuna mapishi yalifanyika yanayotumia sukari nyingi naona wakajialika kama Wageni rasmi.Bila shaka wamefuata sukari au kuna asali humo ndani hukuifunika, isikupe shida fungua mlango, dirisha ikifika saa 12 jioni wataondoka wote
Fuata nilichokwambia, nyuki wana kanuni zaoKuna mapishi yalifanyika yanayotumia sukari nyingi naona wakajialika kama Wageni rasmi.
Tatizo ni hapo kwenye kutoka, tunawaelekeza kutoka lakini wapi, na kadri tunavyoacha mlango na dirisha wazi ndivyo wengine nao wanaingia.
Nipo Arusha, asubuhi maji ni kama yalikuwa kwenye Friji....itabidi niende na mbinu hii.Waache watulie. Wakitulia wataenda kujiweka sehemu kama vile ya kutaka kutengeneza mzinga.
Wamwagie maji ya baridi kama upo vijiji vya baridi kama Makete, Iringa, Njombe n.k. maji ya bombani yanatosha baridi yake. Ukishawamwagia wazoe watoe nje.
Kwakua hautaki kuwaua nafikri hiyo ni njia mojawapo njia nyingine ni kuwaacha tu mpaka waamue kuondoka kwakua nahisi wana safari yao bado haijaisha na chumbani kwako wamepachagua kupumzika.