Kundi la Wanafiki laibuka kutaka Ole Sabaya aonewe huruma

Kwani kuna aliyekulazimisha kusoma!? Mwandishi kataka kuandika alivyoandika kwanini ifupishwe? 😳 wako wengi hawatapotezea watasoma kila neno because they care about what is going on in their country.

Ungefupisha japo kidogo maelezo yako ingependeza nimeishia kuangalia juu mpaka chini nikapotezea.
 
Shetani hasafishiki..

And that will be the end of nobody can stop reggae for MATAGA shenanigans.
 
Chid Benz aliwapaga ushauri hawa kupitia alipokua anamchana Makonda sema wanawachukuliaga wana mineli wao wakiwa kwwnye vipi.vya kuzunguka na AC.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ameonewa. Hilo liko wazi. Atachomoka tu. Nothing is permanent even life itself.
 
Imeisha hiyo@Malisa. Pumbavu sana hawa kima wanaopewa ceremonial posts na kudhani hii nchi yote ipo chini ya kivuli chao. Ni vile tu mahakama zetu pia hazipo independence otherwise wapo wengi sana design ya kina Sabaya.
#FreethelegendaryFreeman Mbowe.
 
Rubbish. Subirini gaidi lipigwe mvua ndio mtatia akili.
 
Em ngoja tuone kwanza ya Mbowe itaishaje!!!!
 
Mtu anasimama hadharani na meno 32 yaliyooza, anaropoka eti usifurahie matatizo ya Sabaya. Huyo Sabaya alipopiga watu, alipotesa watu, alipoharibu biashara za watu mbona mlikaa kimya? Ina maana mlifurahia sio?
Ndio nani huyu meno kuoza, tukamkate masikio na yeye aone utamu wake, sio kututaka sisi tu tusamehe waliotumiza. Magufuli na Sabaya si wakuwasamehe.
Watanzania tuache unafiki
 
Sabaya anatakiwa azikwe akiwa hai.. huu ni unyama zidi ya wanawake.😭😭😭
 
Rubbish. Subirini gaidi lipigwe mvua ndio mtatia akili.
Keshokutwa tarehe 20 October 2021 sio mbali sana Kama hutanyakuliwa na kugeuzwa mavumbi, nitakukumbusha ili ukasikilize mwenyewe jinsi mwamba anavyorejeshewa heshima yake!
Na tarehe 1 November 2021 kingai et al watakuwa raia wa kawaida na huenda akambadidili mwamba kule sero Kwa kosa la mauaji ya komandoo! Heshimu Sana muda kwani ni mwamuzi Bora kuwahi kuwepo!
 
Sabaya ni scapegoat
Amesema mahakamani kuwa alisapotiwa na waziri wa fedha wa kipindi (ambaye nadhani ni Mpango),na viongozi wa juu ambao nashawishika kuamini na huyu rais ni mmojawao.
Kumfunga ni kumnyamazisha
Najua jamaa ni katili na anastahili kuwa huko lakini tuijadili chain nzima ya juu iliyomtuma.Wengine hawajafa,wapo kwenye ofisi kubwa.
Ccm hawanaga utamaduni wa kuwawajibisha waovu isipokuwa wanapotaka kuficha kitu.
 
kwanza illikuwa apigwa maisha tu, tena mwambieni huko aliko kwamba watu washaanza kushughukila na huyo mchumba wake tayari.
 
Na wewe umeamini hekaya za Sabaya? Ukitaka kujiridhisha na huo utetezi wake subiri atakapoitwa kama shahidi kwenye kesi ya Mbowe kama ataongea ukweli kuhusu nani walipanga hii kesi feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…