Kundi la Wanafiki laibuka kutaka Ole Sabaya aonewe huruma


Kwamba ni condemned criminal hadi hapo inatosha sana mkuu.

Sabaya: Haki Imetendeka na kuonekana ikitendeka

Kutokea hapa wala haipaswi kutuumiza vichwa tena.
 
Na wewe umeamini hekaya za Sabaya? Ukitaka kujiridhisha na huo utetezi wake subiri atakapoitwa kama shahidi kwenye kesi ya Mbowe kama ataongea ukweli kuhusu nani walipanga hii kesi feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa calibre ya jiwe naamini ni kweli alimtuma
But kutumiwa kufanya uovu hakukufanyi kuwa innocent
Nimeandika kuwa anastahili kuwa huko lakini sio peke yake,Mpango,SSH hawahusiki kwenye kumtuma huyu?
Naona ni kama kumsilence
And am afraid atatolewa soon
 
tuliwambia hakuna namna Sabaya anaweza kupona uhalifu ule.
 
Kila nikitafakari Mambo yalivyokuwa January na yalivyo Leo October najikuta natikisa Kichwa na kujisemea Mungu anatisha /anaogofya.
Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini
Kwisha habari yao
 
Ulivoweka tu neno CHADEMA basi roho yangu ikaniambia kua bora huyo sabaya angeachiwa awanyoroshe hao mafi ya kuku chadema. Hawanaga shukran kabisa.
 
Duuh.., sijaelewa hapo. Kwahiyo unamaanisha alimkula Nandy hapo weruweru hotel?
 
Kwa hesabu zao za miaka,atakaa miaka 20 tu jela
 
Wilaya ya hai ilikuwa inafikia mahali pabaya sana DC jmbazi mbunge gaid
 
akihukumiwa yule bwana chairman mnaanza kulalamika kuwa kaonewa, alafu watu wenye Chuki kama ninyi mnataka kupewa nchi, si mtauwa watu nchi nzma kwa kupenda sifa
 
Tunajaidili chaini ambao wanajulikana?Wapo wote wabatembea wazima wa afya.

Wote wapo hai kasoro mmoja tu..tuhum hizo mbona zimekaliwa kimya?

Au nao wamekufa?
Hawajitwa kokote kule kuhojiwa wal ahakuna aliyehoji.

Alikuwa sehemu husika na yeye ni sehemu hiyo pia inamhusu kwa 100%

Waitwe hao waliotwaja nao tuwasikie.
 
Ndugu huu uzi unaumiza sana. Huyu Sabays alikuwa na roho gani hii? Nadhani hata shetani alikuwa anamshangaa kwa matendo yake hayo aliowatendea wanawema. Mungu azidi kutukuzwa.
Sijui kwa nini wale waliounga masikio na macho kona zote hawakufanya kitu wakati connction haikukuwa imekatika. Bila shaka waliunganisha wao.. na sasa tunazidi kufunuliwa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…