Kundi la Wanafiki laibuka kutaka Ole Sabaya aonewe huruma

Wanaomuonea huruma SAbaya ni mabazazi hawana hakili hata robo walitakiwa wawaonee huruma aliowatesa na kuwatisha bila hatia pumbavu zao
 
Reactions: BAK
Malia Gj. Nakuoa pole sana. Nimeisoma Kwa masikitiko MAKUBWA umenipa uchunhu mkubwa moyoni. Natamani Sana Sabaya angenyongwa. Ila natoa ushauri WA Bure Kwa Yule aliye tekwa nakutupwa MTONI,akafungia jalada Kituo cha Bomangombe. Namshauri akaifufue KESI yake. Na WOTE waliotendewa na Sabaya wakusanye vizibiti wakamfungulie KESI. Huyu alistahiki Kunyongwa.
 
Reactions: BAK
Kuna unyama wa kutisha unaoende;ea nchini unaofanywa na haya maccm. Imagine yule dhalimu magufuli kama angeendelea kuishi, huyo Sabaya na wenake cgungu nzima wakuu wa wilaya na mikoa wangeendeleza ukatii wa wa kutisha dhidi ya Watanzania wengi sana.

 
Yeye mwenyewe pia alikuwa jambazi. Kumbuka nyumba za Serikali alizokwapua, kumbuka 2,7 trillions alizokwapua hazina na CAGs kuandika kwenye ripoti zao na yeye kugomea uchunguzi huru.

Mwendazake aliteua majambazi kuwa viongozi katika utawala wake haalafu kuna baadhi ya watu bado wanaamini kwamba jamaa alikua shujaa wa Afrika.
 
Na wewe umeamini hekaya za Sabaya? Ukitaka kujiridhisha na huo utetezi wake subiri atakapoitwa kama shahidi kwenye kesi ya Mbowe kama ataongea ukweli kuhusu nani walipanga hii kesi feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa mwamba.
Yule ngedere Sabaya anapaswa kuwa huko gerezani, lakini kwa ma CCM yalivyo ni dhahiri wamemtoa kafara. Yanalindana, hayana tamaduni ya kuwawajibisha makada wao waovu.
 
Hujamuelewa mwamba.
Yule ngedere Sabaya anapaswa kuwa huko gerezani, lakini kwa ma CCM yalivyo ni dhahiri wamemtoa kafara. Yanalindana, hayana tamaduni ya kuwawajibisha makada wao waovu.
Ndio maana nimemwambia akitaka kuamini hekaya za Sabaya,asubiri siku atapokuwa anahojiwa kuhusu kesi ya Mbowe,je baada ya kutolewa kafara na CCM na Serikali yake,na yeye atamwaga mboga kwa kueleza ukweli uliofichika wa hii kesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu stahiku yake ilikuwa ni maisha jera. Wapumbavu tu ndio hawakuona uovu wa sabaya,mpaka watake aonewe huruma. Mtu unaetaka kumuona huruma,basi achukue yeye hiyo nafasi ya sabaya
 
Naona unahangaika sana na waliopo. Hivi jiwe alikua ana share mawazo na mtu? Wakati watu wanapiga kelele juu ya maovu ya Sabaya ulikuwepo?? Moyo wako unapenda Sabaya atoke lakini ndiyo hivyo tena ushahidi umemfunga. Atoke wa nini?
 
Naona unahangaika sana na waliopo. Hivi jiwe alikua ana share mawazo na mtu? Wakati watu wanapiga kelele juu ya maovu ya Sabaya ulikuwepo?? Moyo wako unapenda Sabaya atoke lakini ndiyo hivyo tena ushahidi umemfunga. Atoke wa nini?
Wapi nimeandika atoke?
Hukuelewa nilichoandika
 
akihukumiwa yule bwana chairman mnaanza kulalamika kuwa kaonewa, alafu watu wenye Chuki kama ninyi mnataka kupewa nchi, si mtauwa watu nchi nzma kwa kupenda sifa
Ahukumiwe kwa haki na sio ushahidi wa kubumba kama wa akina rama kingai
 
Anawivu huyo Jamaa

Sasa hataki atetewe au??
 
Aliyeandika jana tu alifanya dhambi kubwa sana MUNGU ANAJUA POLE SANA

kufa kwa yesu musalabani pia kuna kuhitaji wewe unayetia mafuta ya taa ili utambi mchome sabaya utazani wewe alikupora mimi sidhani kama nikwel

Hakuna kwel hata kidogo


Wengi wanafungwa kwa kuonewa huyo jamaa alikuwa na njaa kiasi cha kwenye kupora LAKI TATU HUU NI UONGO SANA
SIASA IS A DIRTY GAME

BAD GAME IPO SIKU KAMA SIO WATOTO WAKO WAJUKUU

WAKO WATALIPA HICHO


MIMI SINA IMANI NA HICHO KIFUNGO CHAKE SIASA KUNA KINACHO TAFUTWA HAPO NADHANI

ALIGUSA WATU WAZITO KWENYE MASILAHI YAO NDIO MAANA NDICHO KINACHOMTAFUNA
 
Jamaa hasafishiki,heri akae huko huko ndichi hasira za raia zitawaisha ila akaachiwa kijanja janja tu tegemea yale ya Iringa miaka ile kutokea tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…