Kundi la wanafunzi wa elimu ya juu

Kundi la wanafunzi wa elimu ya juu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jiandaeni kwa mwaliko wa kwenda Ikulu. Risala yenu isifu juhudi za mtukufu kununua madege, kujenga reli,kujenga daraja la Mfugale, kupanua na kuikarabati JKNIA na ujenzi wa Chato International Airport.

Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
 
Nadhani watatangulia wenyeviti wa kijani vyuoni
 
Ifike mahala mheshimiwa mtukufu Rais awaite ikulu madaktari wataalamu nguli , maprofesa na wadau katika sector ya afya, hili litakua lina faida kwa wafanyakzi katika sector hiyo na wateja(wagonjwa )litakua na maslahi mapana kwa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom