Ukimsikia anaehoji atakuwa CHADEMAVijana wenyewe wanawaza ngono tu hawajui hata lipi linaendelea katika taifa lao, watapwaya pale ikulu hakuna atakae hoji vitu vya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wote wewe unaona wako hivo??Vijana wenyewe wanawaza ngono tu hawajui hata lipi linaendelea katika taifa lao, watapwaya pale ikulu hakuna atakae hoji vitu vya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Majority ya vijana wamepoteza muelekeo, ila wapo ambao wanajitambua sana lakini ni percentage ndogo, fanya tafiti vitu vingi vinavyojadiliwa kwenye mitandao na vijana tazama hoja zao utagundua bila ubishi
Ehhh walioko madarakani hawapendi kukosolewa ni mwendo wa kusifu tu hakuna namna, ingawa tusifu vitu vinavyoonekana na vyenye maslahi kwa taifa,
Ukijidai kutoa mapendekezo uwe unajiamini kuwa udahili wako hauna kasoroKusudi ni kusifu tu pekee, au nakutoa mapendekezo????