Wana Jf,
Kuna tetesi kuwa kati ya makundi yenye malengo yanayofanana limekutana hivi karibuni na kuteua majina ya wajumbe wa Bunge la Katiba.
Kituko kilichojitokeza ni majina ya WAKE pamoja na Jamaa wa kundi hilo kuwa miongoni mwa majina yaliyopelekwa IKULU kwa uteuzi. Kumbe mategemeo yetu kuwa na Bunge zuri yanaweza kuwa kinyume kabisa na matarajio yetu wananchi.
Ni dhahiri kundi limeweka ubinafsi badala ya WELEDI, Walioko kwenye uteuzi kuweni makini kumsaidia Raisi apate majina bora siyo bora majina.