K Khams Member Joined Jul 15, 2013 Posts 36 Reaction score 11 Nov 29, 2014 #1 Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua?
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,688 Reaction score 5,129 Nov 29, 2014 #2 Khams said: Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua? Click to expand... Kwa hawa wa mjini sawa ila wa vijijini ni kinyume chake.
Khams said: Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua? Click to expand... Kwa hawa wa mjini sawa ila wa vijijini ni kinyume chake.
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Nov 30, 2014 #3 Khams said: Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua? Click to expand... Kwa sababu ya kunyonyesha wanakula sana. Si unajua maziwa ya mtoto hutegemea anachokula mama?
Khams said: Kwanini wanawake walio wengi hunenepa wakishajifungua? Click to expand... Kwa sababu ya kunyonyesha wanakula sana. Si unajua maziwa ya mtoto hutegemea anachokula mama?
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Dec 1, 2014 #4 kwasababu wanaanza kutumia yale madaa yetu ili mimba ingine isijitokeze ndani ya mda mfupi
K Khams Member Joined Jul 15, 2013 Posts 36 Reaction score 11 Dec 1, 2014 Thread starter #5 kalagabaho said: Kwa sababu ya kunyonyesha wanakula sana. Si unajua maziwa ya mtoto hutegemea anachokula mama? Click to expand... Got you! It might be a reason
kalagabaho said: Kwa sababu ya kunyonyesha wanakula sana. Si unajua maziwa ya mtoto hutegemea anachokula mama? Click to expand... Got you! It might be a reason