bbwaoy JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 466 Reaction score 468 Nov 26, 2017 #1 Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda. Kuna utofauti gani kati ya meneno haya . Kunenepa naku nawili. Karibu!
Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda. Kuna utofauti gani kati ya meneno haya . Kunenepa naku nawili. Karibu!
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Nov 26, 2017 #2 Kunawili ni kuongezeka kwa nuru nzuri katika muonekano wako bila kujali ongezeko katika ubo lako kiupana na kimo na kunenepa ni kuongezeka muonekano wa umbo lako kiupana
Kunawili ni kuongezeka kwa nuru nzuri katika muonekano wako bila kujali ongezeko katika ubo lako kiupana na kimo na kunenepa ni kuongezeka muonekano wa umbo lako kiupana