KUng'angania wapenzi ni utumwa, au ugonjwa??

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Mtu humpendi hata chembe, on top of that keshakuzengua..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..kibaya zaidi anatishia kujidhuru..nini hii??? Ugonjwa..utumwa?????
 
ni ukichaa....tena kaa nae mbali....anaweza kukung'ata mwehu huyo.....
 
ni ukichaa....tena kaa nae mbali....anaweza kukung'ata mwehu huyo.....

Kuna watu wagumu sana kuelewa...unamkatia simu...bado anapiga tuuuu..anapiga tuu..ukimwambia nipo busy...anakwambia haya kazi njema...sms kila mara..ukimjibu jamani nimekwambia tuachane...hakieleweki...
 
basi uchune usimsemeshe.....atachoka mwenyewe.....
 
kama humpendi kwa nini ulikua nae...wakati unamtongoza uliona unampenda..umemchezea saivi ndio unajidai humpendi...kuharibiana tu maisha na feelings za watu:mad2:
 
kung'ang'ania0 mtu nikuchanganyikiwa, ila anaeng'ang'aniwa ni muuwaji asiye0na utu wala huruma
 
ni ugonjwa, anaweza kukudhuru huyo, mblock kwenye simu yako
 
Mtu humpendi hata chembe, on top of that keshakuzengua..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..kibaya zaidi anatishia kujidhuru..nini hii??? Ugonjwa..utumwa?????

Mkuuu,
Ndio binti yule mbichiiiii uliyemsema cku zile ya kuwa mtamu saaana na ana joto ka niniii?
 
huo ni upumbavu, uwezi kumpenda mtu kuliko unavyojipenda wewe, kama hauna upendo kwako mwenyewe pia huwezi kuonesha upendo kwa mtu mwingine zaidi ya kuwa ni maigizo tu.
 
Mtu humpendi hata chembe, on top of that keshakuzengua..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..kibaya zaidi anatishia kujidhuru..nini hii??? Ugonjwa..utumwa?????

Bora hata ambae tayari mlishakuwa wapenzi, sasa mwingine ndo kakutongoza umemkatalia kistaarabu kabisaa ila hakuelewi! Kuna mtu kachukuliwa RB mana ushakuwa usumbufu, loh! Au unataka udanganywe na utumiwe tu mwisho wa siku ubwagwe looh!Penda unapopendwa usipopendwa achanaaaaa!
 
Asijiaibishe na yeye!khaa...apende anapopendwa,aache kuwa mtumwa wa mpenzi..
 
jamani i knw how it feels. usimchukie wala usimdharau! stay and continue to talk to her, but keep a distance at the same tym, kwa mfano, akikupigia pokea ongea naye usimkatie, lakini usipige mpaka apige, kama ana akili atajua tu hapa sitakiwi! ila kumuacha kwa gahfla na kumkatia line, yaweza kweli kumdhuru, jamani kupenda ni kubaya tena kunauma!
 
Mtu humpendi hata chembe, on top of that keshakuzengua..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..kibaya zaidi anatishia kujidhuru..nini hii??? Ugonjwa..utumwa?????
mkaliwakitaa ni kile kitoto chenye joto ndio hukitaki,? kile cha miaka 20? au hili ni toleo la zamani?
 
Last edited by a moderator:
kama humpendi kwa nini ulikua nae...wakati unamtongoza uliona unampenda..umemchezea saivi ndio unajidai humpendi...kuharibiana tu maisha na feelings za watu:mad2:

Mizenguo inapunguza mapenzi hata kama yapo kiasi gani..sasa hivi hayupo moyoni ..siwezi jilazimisha..unless nitakua namdangaya..sitaki mpotezea muda wake bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…