Kung'ata meno Kama anatafuna kokoto hivi? Akiwa usingizini

Kung'ata meno Kama anatafuna kokoto hivi? Akiwa usingizini

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wana jamvi wasalaam
.
Nina mdogo wangu umri miaka 12
.
tatizo lake ni kung'ata ng'ata meno yaani na sauti yanoyotoa ni hatari sio ya kawida anakuwa kama ana ya sigina hv
.
na hali hii humtokea akiwa usingizini lakini nikimwambia afanye hivi akiwa kawaida hawezi kabisa...
.
Sielewi tatizo ni nn
na kama kuna uwezekano wa hili tatizo kuisha?
.
Natanguliza
 
meno si yana calcium? ts obvious lazima ukisigina hata wewe utatoa hyo sauti.

hapo ujue anaota anakula kitu
 
meno si yana calcium? ts obvious lazima ukisigina hata wewe utatoa hyo sauti.

hapo ujue anaota anakula kitu

.
Kaka kusigina kwenyewe sio kwa kawida kaka
.
Hata mm mwenyewe na ww pia ungemsikia nna uhakika ungeshangaa sana
uki muamsha na kumwambia afanye utakuta hawezi...
.
Kama ni ndoto sasa inawezekana akatoa sauti ya ajabu kiasi hiki/ kama ndio basi awe tu anaota kila siku kweli?
.
 
Back
Top Bottom