Wana jamvi wasalaam
.
Nina mdogo wangu umri miaka 12
.
tatizo lake ni kung'ata ng'ata meno yaani na sauti yanoyotoa ni hatari sio ya kawida anakuwa kama ana ya sigina hv
.
na hali hii humtokea akiwa usingizini lakini nikimwambia afanye hivi akiwa kawaida hawezi kabisa...
.
Sielewi tatizo ni nn
na kama kuna uwezekano wa hili tatizo kuisha?
.
Natanguliza