Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Kuna unafuu angalau.Una uhakika hivi tulivyo bado hatujawehuka?
Bangi ingekuwa na wateja sana dini isingekuwepo. Unavuta mibange yako unapata faraja..Ukifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.
Siku kama ya Ijumaa,jumamosi na jumapili watu wapo bize na kupayuka,wengine wanaimba kwa nguvu kwa matarajio na imani kwamba mambo yao yatatimizwa kama wanavotamani.
Maisha hayapo fair ila kwakua imani inanguvu kuliko LOGIC hawa GREAT ELITES waliamua kucheza na saikolojia ya mwanadamu kwa kuanzisha DINI na wakaigawanya gawanya ili UKIFELI KUWA HUKU UTAANGUKIA KULE NA UKIFELI KULE UTAANGULE KWINGINE.ALL IN ALL KILA MTU AWE NA SEHEMU YA KUMPA FARAJA.MAANA MAISHA YA DUNIA BILA FARAJA WENGI WANGEKATA RINGI NA NATI ZINGEKUWA LOOSE BALAA😀
Ila kiuhalisia hakuna kitu kama DINI.Yaani viongozi wote na ELITES wote dini kwao ni tool ya kufikia mipango yao.
Maskini wa akili na fikra watajazana kuja kuniattack.Dear zombies i welcome you all,tukutane kwenye comment👇
Serikali iruhusu hiyo sedative drug.Bangi ingekuwa na wateja sana dini isingekuwepo. Unavuta mibange yako unapata faraja.
Ila dini sio empty words aisee, kuna watu walishakata tamaa imani kupitia dini ikawapa uvumilivu na sasa hivi wanatoa ushuhuda tu.Serikali iruhusu hiyo sedative drug.
Dini pia ni aina ya MIHADARATI sold in form of sweet soft hopefull empty words!!!
Ndio maana nakwambia dini ni means ya kumneutralize binadamu asiwe soo WILD.Ila dini sio empty words aisee, kuna watu walishakata tamaa imani kupitia dini ikawapa uvumilivu na sasa hivi wanatoa ushuhuda tu.
Yes, na Hope kwa mtu asiye na hope ina thamani ya juu sana. It worth it.Ndio maana nakwambia dini ni means ya kumneutralize binadamu asiwe soo WILD.
Hao walipitia mikwamo flani na wakafall kwenye dini.Hiyo imesaidia KUNUMB hizo pain zao.
Kikubwa kabisa dini inachofanya ni KUSELL HOPE, HATA HUKU AFRICA,ASIA NA SOUTH AMERICA POST COLONIALISM AND SLAVE TRADE DINI ILIONEKANA KAMA A MAJOR PSYCHOLOGIAL SEDATIVE AND TOOL TO NUMB PAIN KUTOKA KWA JAMII ZILIZO ATHIRIWA NA SLAVE TRADE AND COLONIALISM.
Kama huamini dini ina maana huamini chanzo chako?Tuambei sasa wewe je binadamu na viumbe vyote asili yake ni nini?je vimetokea tu pasipo kuwa na chanzo chake?Ukifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.
Siku kama ya Ijumaa,jumamosi na jumapili watu wapo bize na kupayuka,wengine wanaimba kwa nguvu kwa matarajio na imani kwamba mambo yao yatatimizwa kama wanavotamani.
Maisha hayapo fair ila kwakua imani inanguvu kuliko LOGIC hawa GREAT ELITES waliamua kucheza na saikolojia ya mwanadamu kwa kuanzisha DINI na wakaigawanya gawanya ili UKIFELI KUWA HUKU UTAANGUKIA KULE NA UKIFELI KULE UTAANGUKIA KWINGINE.ALL IN ALL KILA MTU AWE NA SEHEMU YA KUMPA FARAJA.MAANA MAISHA YA DUNIA BILA FARAJA WENGI WANGEKATA RINGI NA NATI ZINGEKUWA LOOSE BALAA😀
Ila kiuhalisia hakuna kitu kama DINI.Yaani viongozi wote na ELITES wote dini kwao ni tool ya kufikia mipango yao.
Bado natafiti hawa macho madogo na ulaya wanawezaje kustahimili stress za kimaisha bila kuwa na wakumuangushia lawama( Shetani)😄Jamii zenye kiwango duni cha dini kwa sasa ndizo jamii bora zenye haki, maendeleo na ustaarabu zaidi kuliko jamii zenye kiwango kikubwa cha dini. Mfano China, Japan, Ulaya hasa nchi za Scandinavia,
naandika ukiwa wapi? mewahi kutembelea nchi nyingine kama China, Ulaya na Japan? Kama bado siku ukipata uwezo nenda ndiyo utajua ijumaa, jumamosi na jumapili ni siku za aina gani kidini.Ukifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.