Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Ukweli ni kwamba DINI ndio zinakngoza kwa kuzalisha WEHUUkifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.
Siku kama ya Ijumaa,jumamosi na jumapili watu wapo bize na kupayuka,wengine wanaimba kwa nguvu kwa matarajio na imani kwamba mambo yao yatatimizwa kama wanavotamani.
Maisha hayapo fair ila kwakua imani inanguvu kuliko LOGIC hawa GREAT ELITES waliamua kucheza na saikolojia ya mwanadamu kwa kuanzisha DINI na wakaigawanya gawanya ili Ukifeli kuwa huku, utaangukia kule, na ukifeli kule, utaangukia kwingine. All in all, kila mtu awe na sehemu ya kumpa faraja. Maana maisha ya dunia bila faraja, wengi wangekata ringi na nati zingekuwa loose balaa😀
Ila kiuhalisia hakuna kitu kama DINI.Yaani viongozi wote na ELITES wote dini kwao ni tool ya kufikia mipango yao.
Mkuu huo UFAHAMU uko wapi?Shida si Dini Ni watu kukosa ufahamu
Dini ni mlezi mmoja mwenye dhamana katika ufahamu wa mtu kwenye jamii
Hata asili inaongea vema japo umazaliwa na Wazazi wako kipindi hujiwezi na wala kujitambua.!
Imani yako juu yao na kujihisi salama kwako ukiwa nao hakuoondoi upekee wao kwako na upweke wao kijamii.. Maana wao pia ni kisehemu kidogo kwenye jamii
Mtu hukatazwi kuheshimu ulikotoka ila usilazimishe watu waone kwenu ni kwa pekee
Lete hesabu mezani na faida zake sisi tutaamua kupatambua au kupadharau ulikotoka
Dini ni jambo la utamaduni zaidi, wao hawajawahi kuwa na utamaduni wa dini wa aina zetu.Bado natafiti hawa macho madogo na ulaya wanawezaje kustahimili stress za kimaisha bila kuwa na wakumuangushia lawama( Shetani)😄
We Baada ya balegheMkuu huo UFAHAMU uko wapi?
Kwenye vitabu vya dini?
Ulaya na asia idadi ya vifo vitokanazo na upweke umekuwa ukiongezeka kila mwaka(wanaongoza kwa stress dunianiBado natafiti hawa macho madogo na ulaya wanawezaje kustahimili stress za kimaisha bila kuwa na wakumuangushia lawama( Shetani)😄
Kiwango cha dini kinatokana pia na kadri watu wanavyoweza kuwawajibisha watawala wao au kadri watawala wao wanavyoweza kuwajibika kwa raia. Ukiwa katika taifa ambalo una uhakika wa kula chakula kizuri, kusafiri kwenye miondombinu bora kwa haraka bila ajali, kupata haki zako bila connections na kupigia watu magoti utafikiria mambo ya mungu kwa uchache zaidi na ni rahisi zaidi kuwa Atheist au Agnostic kuliko taifa ambalo kupata chakula kizuri, miondombinu bora, huduma za afya, fursa za kiuchumi na haki ni vigumu sana.Bado natafiti hawa macho madogo na ulaya wanawezaje kustahimili stress za kimaisha bila kuwa na wakumuangushia lawama( Shetani)😄
Nchi zinazoongoza kwa raia wake kujiua wenyewe ni za Africa.Ulaya na asia idadi ya vifo vitokanazo na upweke umekuwa ukiongezeka kila mwaka(wanaongoza kwa stress duniani
Huna kila kitu, huwezi kuwa na kila kitu ukiwa Tanzania, hata uwe bilionea kama Mo, GSM au Bakheresa.Uelewa wako bado Mdogo
Kuna watu Wana Kila kitu ikiwemo Mimi ila bado nakesha ktk ibada ambayo ipo related na dini.
God is really
Wewe umedai “shida ni watu kukosa UFAHAMU WA DINI”We Baada ya baleghe
Kuna mtu alikufundisha katombane na mwengine upate kitu.!
Namaanisha hivi.. mbali na tunakotoka Kuna wengine na vingine vinatusubiri ili kushift
Unaosubiriwa kwa saburi ni utayari wetu
Soma kwa uelewa... bila shaka natumia kiswahili hapa.!Wewe umedai “shida ni watu kukosa UFAHAMU WA DINI”
Ndio nikakuuliza huo UFAHAMU wa dini watu wanaoukosa uko wapi?
Kunyanduana ni NATURE……. Ipo by instinct kwa sababu existence yetu hapa duniani inategemea sex kwa 100%
Dunia tayari ni uwanja vita pamoja na uwepo wa dini.Bila dini tusingekuwa na hofu yoyote, dunia ingekuwa uwanja wa vita.
Tungeishi kama mimea na wanyama (hayawani).
Kwenye kakibanda anakojipumzisha Bujibuji Simba Nyamaume ningeingia kinguvu tu na kudai kuwa ni pangu, hofu ya Mungu kupitia dini inazifanya gereza zisizidiwe maana ingebaki sheria tu ya kidunia kuwa applied na magereza kuzidiwa
📌Noted!Kiwango cha dini kinatokana pia na kadri watu wanavyoweza kuwawajibisha watawala wao au kadri watawala wao wanavyoweza kuwajibika kwa raia. Ukiwa katika taifa ambalo una uhakika wa kula chakula kizuri, kusafiri kwenye miondombinu bora kwa haraka bila ajali, kupata haki zako bila connections na kupigia watu magoti utafikiria mambo ya mungu kwa uchache zaidi na ni rahisi zaidi kuwa Atheist au Agnostic kuliko taifa ambalo kupata chakula kizuri, miondombinu bora, huduma za afya, fursa za kiuchumi na haki ni vigumu sana.
Mfano hapa Tanzania watu wanaona kupata kazi nzuri ni muujiza wa kushukuru na kutoa sadaka kabisa kwa sababu ya fursa chache za ajira, ila ukienda Ulaya, Marekani, Australia, Canada, Uarabuni au China sio muujiza kupata kazi kwa sababu fursa za kazi ni nyingi sana hadi nyingine zinakosa watu wanahitaji wahamiaji kuzijaza.
https://www.jamiiforums.com/threads...otent-singularity-imeandaliwa-na-iit.2483819/Ukifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.
Siku kama ya Ijumaa,jumamosi na jumapili watu wapo bize na kupayuka,wengine wanaimba kwa nguvu kwa matarajio na imani kwamba mambo yao yatatimizwa kama wanavotamani.
Maisha hayapo fair ila kwakua imani inanguvu kuliko LOGIC hawa GREAT ELITES waliamua kucheza na saikolojia ya mwanadamu kwa kuanzisha DINI na wakaigawanya gawanya ili Ukifeli kuwa huku, utaangukia kule, na ukifeli kule, utaangukia kwingine. All in all, kila mtu awe na sehemu ya kumpa faraja. Maana maisha ya dunia bila faraja, wengi wangekata ringi na nati zingekuwa loose balaa😀
Ila kiuhalisia hakuna kitu kama DINI.Yaani viongozi wote na ELITES wote dini kwao ni tool ya kufikia mipango yao.
Unakila kitu in what sense???!!!Uelewa wako bado Mdogo
Kuna watu Wana Kila kitu ikiwemo Mimi ila bado nakesha ktk ibada ambayo ipo related na dini.
God is really
Umetumia mfano mzuri wa wanyama na mimea ila ukashindwa kuhusianisha na maisha ya mwanadamu unless huelewi unachozungumzia.Bila dini tusingekuwa na hofu yoyote, dunia ingekuwa uwanja wa vita.
Tungeishi kama mimea na wanyama (hayawani).
Kwenye kakibanda anakojipumzisha Bujibuji Simba Nyamaume ningeingia kinguvu tu na kudai kuwa ni pangu, hofu ya Mungu kupitia dini inazifanya gereza zisizidiwe maana ingebaki sheria tu ya kidunia kuwa applied na magereza kuzidiwa
Watu hawafanyi hayo yote uliyoyataja kwasababu ya hofu ya Mungu mkuu……… Kimsingi ustaarabu wa dunia ni kwasababu ya sheria na kanuni tulizo jiwekea ndio zinatutia HOFU kukosea kwasababu utachukuliwa hatua za kisheria hapa hapa duniani.Bila dini tusingekuwa na hofu yoyote, dunia ingekuwa uwanja wa vita.