Kungekuwa na mpango ili tuweze kufuga swala, nyumbu etc

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
naona serikali ingeruhusu watu wafuge baadhi ya wanyama wa porini ingekuwa poa sana. aina za nyama zingeongezeka na kipato kuongezeka. tungeongeza pesa za kigeni maana tungekuwa tunatoa nyama unique.

naomba serikali ifikirie na kuandaa mpango ili watu tuweze kufuga swala, nyumbu, kongoni, digidigi nk.

 
Hahaha [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ngoja nitafakari zaidi nahisi sijaelewa.
pia uzoefu unaonyesha kuwa wanyama wakifugwa si rahisi kutoweka. kuku, ng'ombe, mbuzi nk, ni wengi sana sababu wanaafugwa. hilo litatokea kwa Kongoni na Mbarapi iwapo tutawafuga. huoni kware walivyoongezeka kwa kasi? pia naamini kanga wasingekuwa domesticated leo hii wangekuwa wametoweka au wanakaribia kutoweka. kuwafuga ni njia ya kuwalinda.
 
nyama ya kongoni inapendwa sana. wanaweza fika kilo 100-200. pia wanyama hawa wanastahimili sana ukame. wangeruhusu tuwafuge tungepiga sana pesa. watu wa maeneo makame kama singida na dodoma wangeongeza kipato.



 
Mbona huombi jukumu la Kulinda Faru na Tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…