silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
unataka ushauri wa kuponyesha kidonda cha pengo? kwanza ucpende kusukutua sukutua sn au kwa nguvu, na ikitokea umesukutua bac sukutua na maji ya baridi na chumvi kdg, na kingne i hope ushapewa antbiotics tyr,
au ushauri wa aina gan unaulizia? km ni kabla ya kwenda kung'oa au cku ya kung'oa bac kwanza kula kbs chakula ushibe maana baada ya kung'oa hutakuwa na hamu ya kula ht km njaa ipo, kingine nenda na leso kbs maana mdomo unakuwa mzito sn , huo ndo uzoefu wangu nishang'oa meno zaidi ya kumi na bado mengne yashaoza hayatamaniki cjui nifanyaje na mswaki naswaki mara mbili kwa cku
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza.
hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist. nlikua likiniuma nalisugua kwa nguvu kwa mswaki. Kumbe nilikua nafanya kosa kubwa.
Leo kwenda kwa Doctor kalitolea mbalini without further notice. Sasa kwanza naomba kuwanasihi ndugu zangu tusidharau mambo kama haya. Inatakiwa tuhudhurie klinik ya meno kila baada ya miezi sita. Jambo la pili naomba wanaofahamu wanipe dos and donts za mtu aliyeng'oa jino. Nawasilisha kwa heshima.
dont!!!hakikisha hufanyi mapenzi hadi kidonda kitakapo pona kabisa!!
usijali ndani ya wiki moja,wiki ya pili una endelea na maisha ya ndoa!!!!!ha ha ha ha!!kumbuka kuna maambuzo mengine hupitia kinywani hivyo hakikisha kidonda kimepona kabisaaaaaaa!!loh hili tatizo. Wastani kidonda hupona baada ya muda gani?