Kung'oka kwa meno

Kung'oka kwa meno

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,603
Reaction score
3,776
Wadau hamjambo
Nina mtoto wangu katimiza miaka 6 tarehe 10 April mwaka huu....sasa tangu meno mawili ya chini yatoke na kuota mengine ni miezi Sita imepita....mpaka sasa meno ya juu hayajang'oka hata dalili ya kulegea hakuna je kuna tatizo hapo?
 
Na mim nataka kujua mtoto anatakiwa kung'oa meno mangapi ili Idadi itimie
 
Na mim nataka kujua mtoto anatakiwa kung'oa meno mangapi ili Idadi itimie
Kwanza Mkuu
Meno Huota Kwa Utaratibu Yaani Huanza Moja Baadaye Jingine, Chini Halafu Juu
Yataendelea Kuota Kwa Mpangilio Wake Pia Kung'oka Hadi Idadi Ya 32 Itimie
 
Back
Top Bottom