jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
Unaweza msaidia kwa kuyagonga mawe yalainike ili yang'oke mapema.
Asante kiongoziHakuna Tatizo Lolote
Maana Meno Yanautaratibu Kutoka Huwezi Kulazimisha
Kumbe tuko wengi tunaohitaji kuelewa haya mambo ya meno. ...ngoja tusubiri wajuziNa mim nataka kujua mtoto anatakiwa kung'oa meno mangapi ili Idadi itimie
Kwanza MkuuNa mim nataka kujua mtoto anatakiwa kung'oa meno mangapi ili Idadi itimie