Kungu zina 'effects' gani kwenye macho?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Poleni na heka heka za siasa.

Sasa tukirudi kwenye mada zetu zisizohusiana na siasa, ningependa kujua kuwa kungu zina effects gani kwenye macho. Ninachojua mboga za majani na carrots zinaongeza vitamin A kwenye macho na kusaidia kuongeza uwezo wa kuona. Lakini sasa utakuta mdada anasifiwa kuwa ana jicho kama vile amekula kungu, kisa tu jicho ni la kurembua rembua, huwa nashindwa kupata connection iliyopo katika macho yenye mvuto na matunda aina ya Kungu! Mwenye utaalam zaidi naomba anijuze!
 
Ngoja watu wa Lumumba watakuja kukujibu...
 
Mleta mada embu jaribu kula Kungu halafu jipige picha uweke hapa ili tuthibitishe hayo unayoongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…