October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Jamani tuwe serious Kwanzaa, wanaletwa kunguni wamejaa kwenye jaba tano(5) wanamwagwa chumbani alafu unaambiwa ulale humo mwaka mzima kila baada ya Week wanakuja kumwaga Jaba nyengine tano(5) ukiweza kulala kwa miaka miwili bila shuka unapewa Million 200 unaweza kufanya hivyo.