Kunguni wa CHADEMA, NCCR, ACT, na CUF wanamshambulia Tulia Ackson - CCM tusikubali kamwe

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
WanaJF, SALAAM!

Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali".

Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa kutamka maneno hayo. Sasa hapa nawauliza:

(a) Tulia Ackson si Mtanzania?
(b) Haki ya kutoa maoni haimuhusu?
(c) Mnaomkosoa hamuijui katiba ya nchi yetu?

Tulieni nguvu ya CCM iwaingie.
Msakila Kabende
Kakonko.
 
Naona mnapaza Sauti Sasa.
FB_IMG_16754165076166759.jpg
 
Huo uteuzi wa kukufuata Kankonko sijui kama utatokea hivi karibuni. Hapo uko mpakani kabisa na Burundi. Mpaka kuja kujiridhisha kuwa wewe kweli ni Mtanzania itachukuwa muda
MUNGU amekusikia
 
WanaJF, SALAAM!

Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali".

Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa kutamka maneno hayo. Sasa hapa nawauliza:

(a) Tulia Ackson si Mtanzania?
(b) Haki ya kutoa maoni haimuhusu?
(c) Mnaomkosoa hamuijui katiba ya nchi yetu?

Tulieni nguvu ya CCM iwaingie.
Msakila Kabende
Kakonko.
Mbona kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu huku unabana sauti?
 
WanaJF, SALAAM!

Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali".

Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa kutamka maneno hayo. Sasa hapa nawauliza:

(a) Tulia Ackson si Mtanzania?
(b) Haki ya kutoa maoni haimuhusu?
(c) Mnaomkosoa hamuijui katiba ya nchi yetu?

Tulieni nguvu ya CCM iwaingie.
Msakila Kabende
Kakonko.
Anashambuliwa how? Weka hoja zao waliokua wanamshambulia nazo!!
 
Back
Top Bottom