Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
MUNGU amekusikiaHuo uteuzi wa kukufuata Kankonko sijui kama utatokea hivi karibuni. Hapo uko mpakani kabisa na Burundi. Mpaka kuja kujiridhisha kuwa wewe kweli ni Mtanzania itachukuwa muda
Ana pressure mwenye Jimbo karudi Mbeya.Msomi analopoka bila break, huyu ni mara ya 2 kulopoka lopo.
Huyu mbuzi angekuwa mweusi basi hiyo picha ingekuwa na mantiki kubwa katika kushabihiana kimuonekano na mtu mmoja alietajwa katika huu uzi🤣Naona mnapaza Sauti Sasa.
View attachment 2507769
Akina Kabende na chawa anuai au🤔Naona mnapaza Sauti Sasa.
View attachment 2507769
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona mnapaza Sauti Sasa.
View attachment 2507769
Tena, tulieni nchi iko salamaAkina Kabende na chawa anuai au🤔
Mbona kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu huku unabana sauti?WanaJF, SALAAM!
Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali".
Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa kutamka maneno hayo. Sasa hapa nawauliza:
(a) Tulia Ackson si Mtanzania?
(b) Haki ya kutoa maoni haimuhusu?
(c) Mnaomkosoa hamuijui katiba ya nchi yetu?
Tulieni nguvu ya CCM iwaingie.
Msakila Kabende
Kakonko.
Tena very soonSitaki kusema neno lakini , unabii wa Lema unaweza kumkuta huyu dada , Tusubiri
Yule njiti2lia yule mweusi tii au mwingine!
Anashambuliwa how? Weka hoja zao waliokua wanamshambulia nazo!!WanaJF, SALAAM!