SI KWELI Kunguru akifa haozi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kuoza anaoza. Ila habari ya kunuka sijawahi kusikia harufu katika mzoga wa kunguru. Miaka ya nyuma nimeishi Temeke na kulikuwa na kunguru wengi sana. Lakini wakifa hautakuja kuona mzoga wake umeliwa au kusogezwa pale ulipo. Na sehemu ulipo mzoga haijawahi sikika harufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…