GE2025 Kunje Ngombale: Nikiwa rais nitafuga mamba kwa ajili ya mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo amewahutubia wananchi wa eneo hilo na kunadi sera zake,

Ngombale Mwiru amesema ya kwamba kama akipata nafasi ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataanza kufuga mamba kwenye Ikulu yake,

Aidha Ngombale Mwiru aliweka wazi sababu ya kufuga mamba ni kitanzi cha mafisadi wote wa Nchi ambao watakuwa wanahujumu uchumi wa Nchi.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Kunje na Kinje nani mkubwa wa mwingine?
Ama ni Kinje umekosea ukaandika Kunje..??
 
Hawa ndiyo aina ya wapinzani anaoshindana nao Samia halafu anatamba atapata ushindi wa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…