Kuntakunte ndani ya nyumba!! naombeni njia wana jamvi..

Kuntakunte

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
35
Reaction score
2
Habari zenu wadau wa jf? Kuntakunte ndo jina langu,.ningependa kuonyeshwa njia kwani mimi ni mmoja wa wapenzi wa jf..so naombeni saport yenu wakuu..
 
Karibu sana,soma jf rules kisha twende sawa
 
Habari zenu wadau wa jf? Kuntakunte ndo jina langu,.ningependa kuonyeshwa njia kwani mimi ni mmoja wa wapenzi wa jf..so naombeni saport yenu wakuu..

Karibu sana. Subiri Mkuu Katavi alete funguo tupate kukutembeza.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wadau wa jf? Kuntakunte ndo jina langu,.ningependa kuonyeshwa njia kwani mimi ni mmoja wa wapenzi wa jf..so naombeni saport yenu wakuu..

Karibu sana. Subiri Mkuu Katavi alete funguo tupate kukutembeza. Tutakuwa pamoja na Ritz na Ulimakafu.
 
Last edited by a moderator:
Unataka muanzie wapi?? Kwenye siasa, chitchat, habari mchanganyiko au jukwaa la kikubwa??

nimevutiwa na hilo jukwaa la kikubwa hebu nishike mkono twende ukanitambulishe mkuu..
 
ha ha ha aaah!! Hilo wageni hawaruhusiwi kabla hawajawa wazoefu wa majukwaa mengine kwanza, siku ukiwa mwenyeji utajua namna ya kuingia huko...
 
bas twenzetu huko chitchat nikapaone.
 
Karibu sana Chit Chat, huko kumetulia zaidi......Naona umeshakuwa mwenyeji sasa nimeona vitu vyako kule kwenye photos.

teh teh nilikua sijui ndo nikawa na jaribu mpaka nimeweza kuweka photo jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…