Kunungunuka na kulalamika

kunung'unika ni kulalamika moyoni bila kufikisha ujumbe kwa mhusika.
Kulalamika ni kueleza malalamiko yako ktk sehemu inayohusika au mtu anayehusika.
 
Mara "kunungunuka" unaelekezwa ndo unazidi kuharibu "kunusahihisha"

Yapasa upigwe jeki, Sikia Umutimbaru,
Mbona haueleweki, Nenda kasome ngumbaru,
Nakueleza rafiki, usijifanye kifaru,
Soma uje kuwa huru, ama sivyo haufiki.
 
Mara "kunungunuka" unaelekezwa ndo unazidi kuharibu "kunusahihisha"

Yapasa upigwe jeki, Sikia Umutimbaru,
Mbona haueleweki, Nenda kasome ngumbaru,
Nakueleza rafiki, usijifanye kifaru,
Soma uje kuwa huru, ama sivyo haufiki.

Nimeipenda 'shule' ya nimie kwa Umutimbaru!
Halafu huyu jamaa anajidai kujiita Umutimbaru lakini
mimi nimemstukia. Huyu ni Nshomile live!! Hata hivyo
ninapenda kumsisitiza kwamba kila anapoandika uzi wowote
afanye juhudi kubwa kurudia rudia kuusoma kwa lengo la kufanya
masahihisho kabla ya kutuma. Hiyo itamsaidia kuepuka au kupunguza
'utumbo'!
 
Nashukuru umonto uhene, lakini ujumbe siumefika. Kwani shida ni nini, ni maandishi au ujumbe. 'Ndamanya unyunguye'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…