Nelson Kapaya
Member
- Aug 7, 2014
- 99
- 15
Naomba kusaidiwa kujua:
1. Jinsi ya kununua/ kulipia bidhaa zao
2. Unazipataje baada ya kulipa? Wanatuma/unasafirisha mwenyewe?
3. Gharama za kusafirisha na bandarini inakuaje?
1. Jinsi ya kununua/ kulipia bidhaa zao
2. Unazipataje baada ya kulipa? Wanatuma/unasafirisha mwenyewe?
3. Gharama za kusafirisha na bandarini inakuaje?