>> Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
Kama bado hujapata ufumbuzisasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.
Mkuu kitabu chenyewe ni Rs. 340 lakini nahisi ukitumia DHL, FedEx gharama inaweza kuwa ghali sana mpaka kufika TanzaniaKama bado hujapata ufumbuzi
Naweza kukupokelea INDIA na kutuma TZ.
- Malipo ya usafirishaji utafanya baada ya kitabu kufika nchini.
Whatsapp +255 784 496 856
Anyway nipe mchanganuo wa gharama kitabu chenyewe kipo amazon.in kinaitwa SWITCHGEAR AND PROTECTION by bakshi.Kama bado hujapata ufumbuzi
Naweza kukupokelea INDIA na kutuma TZ.
- Malipo ya usafirishaji utafanya baada ya kitabu kufika nchini.
Whatsapp +255 784 496 856
Teresa vp umeweza kupata?Mi niko India ila acha nifanye uchunguzi then ntakupa jibu mpendwa
Teresa vp umeweza kupata?
Ukinunua online mzigo unapata baada ya muda ganMimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.
NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
Muda wakupata mzigo wako inategemeaUkinunua online mzigo unapata baada ya muda gan