Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Habari zenu watu wa Mungu. Sijawai kukwama Jf kwa majibu ya msaada. Nimeona bidhaa online huko china. (Villa store). Muuzaj anataka malipo kwa mastercard. Sion insurance ya malipo. Mwenye namna ya kulipa kwa aman anisaidie. au mwenye wakala wa huduma kama hizi Tanzania aniunge nitalipa fee.Ni usd 88 tu hivi.