Kununua bidhaa mtandaon china.

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Habari zenu watu wa Mungu. Sijawai kukwama Jf kwa majibu ya msaada. Nimeona bidhaa online huko china. (Villa store). Muuzaj anataka malipo kwa mastercard. Sion insurance ya malipo. Mwenye namna ya kulipa kwa aman anisaidie. au mwenye wakala wa huduma kama hizi Tanzania aniunge nitalipa fee.Ni usd 88 tu hivi.
 
Don't try, wengi wamelizwa vibaya sana, please don't try, don't try to do this. Kama ni vya gharama tumia letter of credit through bank and not Mastercard, Visa card etc ukitumia Mastercard inamaana wanabaki na kumbukumbu uko watakwangua pesa yote.
 
Nashukuru kwa taadhar. Nilishagundua watu wengi huwa tunapigwa kwa ujuaji wetu. Na hili la wao kukomba akaunt yangu ni moja. Lakin vipi tiba ya kuwa na akaunt maalum ya kufanyia malipo na kuibakisha empty. Mi zaid nawazia pale umeshawalipa unajiridhishaje delivery itafanyika? Je unapimaje uaminifu wa muuzaj na kampun yake.
 
Mcheki Mwl.RCT atakusaidia
 
It depends na website. Mi nimenunua sana kupitia Alibaba, Ali Express so far sijaona tatizo lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It depends na website. Mi nimenunua sana kupitia Alibaba, Ali Express so far sijaona tatizo lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mitandao ulotaja kweli inaaminika na zaid mfumo wa malipo una security ya pesa kama paypal. Tatizo ni bei zao na inategemea bidhaa unayotaka umekumbana nayo mtandao gani, yawezekana ni nje ya hizi credible. Mf mi bidhaa nimekutana nayo VILLASTORE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…