Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
Habari zenu wana jamii forums
I think this is right place ambapo naweza kupata ushauri yakinifu from great thinkers
Mimi ni mdada naombeni ushauri wenu wapambanaji wenzangu ambao mmeshapiga hatua za kimaisha
Nahitaji kukopa Milioni ishirini kutoka kwenye mshahara wangu nishaenda kwa afisa wa mikopo na amesema inawezekana kupewa kiasi hicho, pia nimeongea na afisa mikopo ya biashara kulingana na size ya biashara yangu nimeambiwa naweza kupewa milioni kumi though naweza kubembeleza ikafika kumi na tano ambayo inarudishwa ndani ya mwaka mmoja tu, while mkopo wa mtumishi ni miaka 6
So nina option mbili nikope million 15 nirudishe ndani ya mwaka mmoja au milion 20 ndani ya miaka 6
Sitaki kufanya maamuzi ya hasara naombeni ushauri yakinifu
Moja nikope mkopo upi kati ya biashara au mkopo wa mtumishi
Je, kitu gani nikifanyia na huu mkopo ili nisipate hasara
Nina biashara ambayo ina mtaji kama wa milion 15 hivi naweza sema bado haijasimama vizuri mana ina mahitaji mengi
Au nijenge nyumba nipangishe, hapa napoishi bado kuna eneo kubwa tu ambalo naweza kujenga nyumba au vyumba kadhaa na nikapangisha
Au ninunue gari, usafiri wangu ni boda boda kwenda kazini na mizunguko yote tu ya hapa na pale nakodi boda au napanda daladala, je nitakuwa sahihi kununua gari na hela ya mkopo??
Naombeni ushauri tafadhali kipi nifanye kati ya hivyo vitatu. Asanteni kama mtanishauri positively