Habari wakuu. Naombeni ushauri ktk hili
Nina options mbili, either kununua kiwanja au kufungua mradi kidogo miezi michache ijayo. Vyote ni vya muhimu na siwezi kuvifanya kwa pamoja maana resources hazitatosha. Nawaza thamani ya ardhi inazidi kupanda naweza kuingia gharama kubwa nikinunua mwaka ujao baada ya biashara kukua. Na what if biashara isipokua maana si unajua tena changamoto za biashara change.
Naombeni ushauri wadau maana nipo njia panda.