shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 130
- 51
naomba kuuliza ! CRDB walinikopesha milioni saba! NMB walinikopesha laki saba! CRDB namaliza mwakani mwezi wa nne kulipa mkopo wao. Hivyo wananidai milioni mbili na laki mbili na sitini elfu. NMB wao wananidai laki mbili na thamanini ivi. Sasa nataka NMB wanunue mkopo wangu toka CRDB kisha nichukue Milioni saba ! Kwa kukatwa laki na nusu kila mwezi.je ? Inawezekana?. Pili, nikiwalipa CRDB hela yao mi nitabaki na shilingi ngapi? Ukitoa NMB loana processing fees na insurance yao. Najua mabasa mpo humu wa NMB ! Au wajuzi . Nawasilisha