Kununua mpunga mashambani na kuhifadhi

nsitta

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Wana-JF,
ninaomba ushauri juu ya hii biashara ya kununua mpunga na kuhifadhi. Inalipa bado? Kuna wakati ilikuwa dili. Kwa sasa ninaweza kupata kamtaji angalau kuanza lakini sina hakika. Mwaka jana naskia watu wamekula hasara na michele ya nje. Ushari tafadhali. Nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…