Kununua nguo za jumla china

Kununua nguo za jumla china

mamsapu

Senior Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
111
Reaction score
25
Napenda kufahamu ni wapi hasa nchini china naweza pats nguo za cotton or twteon for women. Coz napenda kuanza hii biashara muda si mrefu. Jam nitaweza kupata exact direction of companies/small enterprises, city n their communication. I would apprecite very much. Thanks.
 
Hongera kwa mawazo yakutaka kujiongezea kipato! Ila biashara ya nguo kwa sasa Inatakiwa uwe na Mtu anaeijua Vzr 7bu mchina kaharibu kila Sehem Tabu yake nikubadilika kwa FASHENI kila cku unaweza kuona leo JNS zakubana ndo Issue lkn wakati wee Unafunga mzigo wa JNS zakubana huku watu wamedilisha wanaVaa maBUGA so hadi uuze hizo utateseka sana! mm cjafanyi hiyo Biashara ila nawackia wenyewe nahizo changamoto zao! By da way All da Best Frend!
 
all the best mkuu
hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Nenda Jijini Guangzhou huko ndio kuna maduka makubwa ya nguo za jumla na rejareja...

Sehemu maarufu huko ni JiaNan Market (Caanan), LiHua na maeneo yanayozunguka Train Station ya Guangzhou...

Kama una mtaji mzuri unaweza kufika hata HongKong katika kitongoji cha ShamShuiPo
 
Mkuu me nafikiri ungejaribu kwenda Thailand pia kuhusu nguo zipo very quality more than China
Bobae Market - Bobae Market is a clothesaholics' paradise. Clothes are dirt cheap here, but you are expected to buy in bulk or wholesale (i.e.: three or four pieces at each stall). Prices are so cheap though ($1.50 per t shirt) that it's easy to want to buy more than one item. Bobae has any clothing you would want but is specifically a great place for jeans, t shirts, shirts, blouses, skirts etc. To get to Bobae, you can either take the boat from Siam Square (a bit difficult to find though, although one of the shopkeepers in any of the malls near Siam can tell you how to get there, and it is really fun on the boat on the klong) or, take a taxi.

Baiyoke Markets - There's a huge market area near Baiyoke Tower and also hundreds of shops within the Baiyoke Tower complex. Again, here, you're expected to buy at least two pieces (they don't have to be the same designs though, just two t shirts, two pairs of shorts, etc.) but prices are about half of what you would pay at Chatuchak (around $1.50 per t shirt, sometimes even $1 per shirt and the quality is beautiful). You can also get larger sizes here, so Baiyoke Markets are great for those who are above a US size 8, as well as those who are tiny (they have sizes for everyone because this is where much of the exporters to Europe and the US buys their clothing). Go to Chidlom sky train station, and then take a taxi to Baiyoke. You can walk there, but the alleys are a little confusing. A taxi driver however will take you straight there for only about $1.25 fee.
 
If U won't mind I would like ur contacts. Nine ku pm
 
Nenda Jijini Guangzhou huko ndio kuna maduka makubwa ya nguo za jumla na rejareja...

Sehemu maarufu huko ni JiaNan Market (Caanan), LiHua na maeneo yanayozunguka Train Station ya Guangzhou...

Kama una mtaji mzuri unaweza kufika hata HongKong katika kitongoji cha ShamShuiPo

Ningependa kuwa na contact zako kama hits kali. Nimeku pm zangu.
 
Ndugu yangu mimi sio mfanyabiashara ila nina uzoefu na maisha ya Uchina maana nimepata kuishi huko na baadhi ya miji kama Guangzhou na Hongkong nimetembelea mara kadhaa...
 
Ok. Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom