Angalia mkuu itakula kwako,utanunuaje sehemu ya kiwanja halafu yeye abaki na hati ya kiwanja kizima.,kuna uwezekano wa kugawa hiyo title na kila mtu akawa na share yake yenye title tofauti hii inamaanisha kwamba hakuna anaeweza kuingilia share ya mwenzake.,hii ni kwa mujibu wa Land Registration Act, CAP 334.