Kunusana

 
jamani ndoa zina mambo.kunuswa ni jambo la kawaida,kwangu mimi hayo ni mageni na nisingependa kunuswa hata siku moja.Au huyo mwanamke hakuamini?
 
Mi ndio huwa namnusa yeye,
Nisipomnusa anasema simpendi.
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na mapafumu duh hii kali ya wiki nimeipata wandugu
 
Pole sana ndugu, vumilia. Mpe imani kwamba wewe zipu inafunga asiwe na wasiwasi!
 


heiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…