Kunyimwa tendo la ndoa

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,727
Wana MMU habari

Nataka kujua kisheria hii imekaaje inapo tokea mwana mme kunyimwa tendo la ndoa ndani ya ndoa.

Je, kuna kifungu chochote kina muhukumu mwanamke kwa ishu hiyo?

Naombani majibu ya kisheria zaidi..
 
1=m'ke mgonjwa,amechoka,mligombana,umetoka/ametoka kwa mchepuko,
2=m'me umelewa,si msafi(hujaoga_kikwapa),unanuka mdomo(hujapiga mswaki,sigara),unalazimisha bila maandalizi
3=wewe ni mario,unamtegemea mazima kiuchumi,huna ujanja,anakufuga
4=ongezea mengine. Dawa ya mwanamke mkorofi ni mwanamke mwingine; huna spea
 
Hakuna kifungu kinachomhukumu. Ukimlazimisha lakini kuna kifungu kinakuhumu wewe kwa kumbaka hata kama ni mkeo (marital rape).

This isn't fair at all, right of equality must be observed from each other.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hah nimekusoma mkuu wangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mbunge mmoja nchi za nje alisema kesi hizi zimezidi na zinapoteza mda. Kama mwanamke hataki kutoa tunda basi harudi kwa wazazi wake au aondoke kwenye nyumba
Inategemea sasa nyumba zenyewe wanaume kujenga wenyewe hawawezi hadi mjichange wote atakufukuzaje? Kama si yamwanaume je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Pole sana inaonekana uchumi umeyumba!! Kama ungekuwa na mpunga angefanya kila njia hata kama amechoka au yupo NASA ili mradi wazungu wako watoke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…