Nilikua naifahamu sheria inayohusiana na marital rape ila kumbe hai apply kwenye jamii zetu huku ambazo watu wanalipa mahari ni kwa wenzetu wazungu tu.
Ilibidi nikatafute hilo jambo nikasoma ndio nikafahamu kuwa sheria hiyo ya marital rape hai apply hapa Tanzania kwasababu kwa kitendo tu cha mwanaume kulipa mahari basi anatakiwa awe na unlimited supply ya utamu kutoka kwa mkewe.