Kunyoa nywele za kifuani na kitovuni

Joined
Sep 25, 2021
Posts
23
Reaction score
22
Naomba kuuliza kuna madhara ya kunyoa nywele za kifuani na kitovuni au tumboni maarufu kama garden love? Maana naona zinanizidi kiwango na zinakua ndefu unajua nywele singa yani zinakuwa ndefu. Naonaga noma ikitokea kuwa kifua wazi mbele ya demu au mademu.
 
Zinaota kwa kusimama,kulalia chini au kulalia juu? Kama utanyoa tumia mkasi wa kawaida.
Weka kapicha ili nikushauri vizuri,mimi mwenyewe ni mhanga
 
Zinaota kwa kusimama,kulalia chini au kulalia juu? Kama utanyoa tumia mkasi wa kawaida.
Weka kapicha ili nikushauri vizuri,mimi mwenyewe ni mhanga
Anko weka picha tuone 😀
 
Ukazinyoa halafu ukakuta hizo ni kivutio kwa mwenye wewe umeharibu

Kwani unakuwa kifua wazi mbele ya mademu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…