Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Hiyo ni nini hapo kwenye avatar na samaki?Kwa wengine ni aina ya kuomboleza msiba. Nywele zikiota inamaanisha kuanza maisha mapya bila ndugu yao huyo aliyefariki
Magufuli(jiwe)Hiyo ni nini hapo kwenye avatar na samaki?
Hapa umenigusa nina kipara kimeanza kijingajinga basi nimestuka baada ya kuacha nywele kwa muda kidogo wife akanistua aliponiambia unakipara dah noma japo nilikua napiga dongo full time ila now ndio kabisaaa kila baada ya siku mbili lazima wembe upiteIla siku hizi tunanyoa kipara kama kusafisha kichwa, kuficha kipara/upara na fasheni tu, inaitwa kunyoa dongo au kunyoa zungu