Kunyolea Magic powder

MbangaFc

New Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu wapendwa.

Napenda kufahamu hivi ukinyoa sehem za siri hasa kwa wanaume je hakuna madhara ukitumia magic powder? Mimi napenda kutumia hii dawa kunyolea sehem za siri ila nina mashaka kuwa inaleta upungufu kwenye nguvu za kiume kutokana na ufanyaji kazi wa hii dawa.
Kwa anayejua vizuri content ya hiyo dawa na kama haina madhara, ufafanuzi tafadhali
 
Mmh Mkuu una hatari sana.
Japo si Dr lakini ngoja wataalam waje.

Magic sehemu za siri.
 
HIYO NI DAWA YA KUNYOA NDEVU,and nothing else
Mmmmh! Mbona niliona na wengine wananyolea hadi nywele kipara...Labda kwa vile amavubi ni jamii ya nywele tu; ila ziko kiwanja kingine mi nadhani ni poa tu kutumia magic pia!
 

Acha kabisa kuizoea hiyo kitu utajizeesha muda si wako.Nilijenga mazoea yakuitumia kunyolea ndevu matokea yake kidevu chote kimejaa mvi,.huwezi amini nyele zangu zote nyeusi lakini kidevu chote cheupe, kwa kawaida mvi huanzia kichwani halafu ndio kidevuni..umri wangu hata miaka arubaini bado,.sio mimi peke yangu hata rafiki yangu yamemkuta.
 
naona unawashwa sehem za siri ndo maana unataka kuitumia sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…