Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Hii kitu sitaki hata kuiskia!! Imeniletea mvi za kidevu kabla hata sijafika 35!Wana bodi.
Mimi ni mmoja wa wanyoaji wa ndevu kwa kutumia MAGIC naomba kufahamu madhara ya moja kwa moja au side effect zake.
madhara ya muda mfupi pia ya muda mrefu.
aksanteni.
nadhani kamaanisha Magic powder, ni dawa fulani wanapaka kwenye ndevu zinalainika na kuwa nyepesi kutoka bila shida kwa kukwangua na kifaa chakehiyo MAGIC ni nini kwanza chief?
wengine hatuna ndevu hatujui hayo mavitu